Vipengele vya Mfumo

Usimamizi wa Mauzo na Wateja

Simamia mauzo yote ya wateja kwa urahisi.

Nukuu za Bei na Oda

Tengeneza proforma invoice, oda za mauzo, na nukuu za bei.

Ankara za Mauzo

Toa ankara, malipo ya kujirudia, credit note, na risiti zilizosajiliwa TRA (fiscalized).

Malipo ya Wateja

Rekodi malipo ya awali, salio linalodaiwa, na idhini za mkopo.

Punguzo na Matoleo

Toa punguzo, credit note, na simamia kadi za uaminifu (loyalty/royalty).

Udhibiti Baada ya Mauzo

Futa ankara, tuma tena risiti, na simamia marejesho ya bidhaa.

Sales Invoice · #INV-2044

Rice 5kg × 2TZS 18,000
Cooking Oil 2L × 1TZS 9,500
Soap Bar x6 × 3TZS 4,200
TotalTZS 31,700

Fiscalized receipt QR — verifiable with TRA

Ione ikifanya kazi

Ungependa kuona jinsi hili linavyofanya kazi kwenye PowerSales?

Weka miadi ya onyesho nasi tutakuonyesha — tukitumia bidhaa na matawi yako mwenyewe kama mfano.

Weka miadi ya onyesho

Ona PowerSales ikiendesha mtiririko halisi wa duka lako

Weka miadi ya onyesho nasi tutakuonyesha mauzo, mzigo, ununuzi, na risiti zilizosajiliwa TRA — tukitumia bidhaa na matawi yako mwenyewe kama mfano.