Vipengele vya Mfumo

Vipengele vya Mfumo

Kuanzia taarifa msingi hadi taarifa za uchambuzi, PowerSales hupanga vipengele vyake katika maeneo sita ili usanidi, mauzo, na mzigo viendelee kupangwa vizuri biashara yako inavyokua.

Weka miadi ya onyesho

Ona PowerSales ikiendesha mtiririko halisi wa duka lako

Weka miadi ya onyesho nasi tutakuonyesha mauzo, mzigo, ununuzi, na risiti zilizosajiliwa TRA — tukitumia bidhaa na matawi yako mwenyewe kama mfano.